Communications expert, producer/director, Founder #ChangeTanzania, EF Fellow 2016, FCO @Intleaders 2017, IMHO podcast, Miss Universe director #KatibaMpya

Joined March 2009
Napongeza kila mmoja wetu - tuliobaki kudai Haki, Demokrasia na #KatibaMpya pamoja na changamoto, shinikizo na ugumu wa maisha! Tujipongeze, tufarijiane kisha tutumie tena na tena kila siku tuliyopewa na Mungu kupigania malengo haya! Kukata tamaa mwiko 💪🏽 Much ❤️ and power to ua!
149
385
12
1,894
Maria Sarungi Tsehai retweeted
Baada ya Uamuzi wa Mahakama ya Rufaa ya Botwasana kuruhusu mapenzi ya jinsia moja! Hii ndio press statement ya Mwanasheria Mkuu wa Botwasana! Soma press uelewe au nimtag shangazi awasaidie kutafsiri? 😂😂😂
23
9
0
98
Maria Sarungi Tsehai retweeted
Kwa REVELATIONS za waliokuwa MAKOMANDOO, zinazoendelea kutolewa MAHAKAMANI kwenye kesi ya MBOWE... Naona kuna DALILI kuwa wale walioitwaga 'WASIOJULIKANA' sasa WATAJULIKANA soon... #FreeMbowe
15
41
0
237
Maria Sarungi Tsehai retweeted
Kituo cha polisi TAZARA kinatuhumiwa kwa kupokea na kutesa watuhumiwa kinyume na sheria. Kituo hiki badala kushughulika na watuhumiwa waliofanya makosa ndani ya mipaka ya TAZARA kimekuwa ni kituo kinachohifadhi na kutesa watu wanaobambikiwa kesi za UGAIDI. Hii si sawasawa.
2
19
2
82
Maria Sarungi Tsehai retweeted
KOMMANDOO CAPTAIN MOHAMED TAMIMU aliuawa na usalama wa taifa kwa kupigwa risasi na mmoja wa maofisa hao aitwaye Mabere Nyaucho Marando alikataa kukamatwa na akarukia kwenye gari ilIyokuwa imebeba kreti za bia akaanza kuwapiga nazo kwa kujihami wakampiga risasi na akafa palepale.
21
75
2
631
Maria Sarungi Tsehai retweeted
Usajili unaendelea muda huu leo tar 1Dec katika jimbo la Buchosa Mkoa wa Mwanza Chini ya Uongozi wa Katibu wa @BawachaTaifa Mkoa wa Mwanza Bi #Naomi. Pongezi kwa #Bawacha wote waliojitokeza na kujisajili Kidigitali #Bawacha always on Frontline #Tutaelewanatuu #ChademaDigital
4
17
0
62
Maria Sarungi Tsehai retweeted
Yaani unakamatwa Barabarani, Unapigwa vibaya sana, unatakiwa useme fulani yupo wapi, unateswa kweli-kweli, wakati kumbe huyo fulani wao wanaokuuliza yupo wapi, walishamkamata Mwezi Mmoja nyuma na kumtesa na kumtupa gerezani. Huu ni zaidi ya ukoloni wa wakokoni weupe..
43
124
5
924
Maria Sarungi Tsehai retweeted
Hivi, shahidi anasema HAJAWAHI kufika Kituo fulani cha Polisi na anaomba NYARAKA ziletwe kuthibitisha, Polisi HAILETI! Shahidi mwingine anasema amewahi kufika Kituo fulani lakini upande wa MASHTAKA unamuuliza maswali ya KUPOTEZA muda! Si mlete DOCUMENTS kuthibitisha tuone nani
7
43
0
281
Show this thread
Maria Sarungi Tsehai retweeted
UKIMYA UMETAWALA.. UKIMYA HUU KWAMBA SHAHIDI ANAPEKUA KUANZIA UKURASA WA KWANZA HADI WA MWISHO KUTAFUTA JINA LAKE AKIWA KITUO CHA POLISI TAZARA
18
77
1
681
Maria Sarungi Tsehai retweeted
Shahidi wa upande wa utetezi anayesema ukweli mtupu kijana @LembrusMchome ameshamaliza kutoa ushahidi wake anaondoka katika viwanja vya mahakama.
20
47
1
402
Maria Sarungi Tsehai retweeted
Mh. @LembrusMchome Akiwa anamaumivu makali mwilini mwake, amemaliza kutoa USHAIDI wake leo mahakamani, kwa lengo la kuilinda Mahakama dhidi ya Mashaidi wa uongo.
5
24
1
249
Maria Sarungi Tsehai retweeted
Awali nawashukuru wote ambao mlinipa pole baada ya kuumia. Namshukuru Mungu maana nimetimiza wajibu wangu wa kuisaidia mahakama ili itende haki, japo mahakama zetu hazijitawali.
121
128
10
1,017
Maria Sarungi Tsehai retweeted
Zoezi la kuhamasisha na kusajili wanachama katika mfumo wa #ChademaDigital linaendelea leo tar 1Dec katika Kata y Ng'hambi picha mbili za Mwanzo na Kata ya Berege picha ya 3&4 Jimbo la Mpwapwa Mkoa wa Dodoma @MwitaJulius2000 kamanda wa mstari wa mbele #EtiChademahaikovijijni
3
14
1
59
Maria Sarungi Tsehai retweeted
"80% of women legislators in Africa have experienced psychological violence in parliament. 67% have been subjected to sexist behavior or remarks. 39% have faced sexual violence. The main perpetrators of this violence are their male counterparts." qz.com/africa/2096344/study-…
7
50
4
45
Maria Sarungi Tsehai retweeted
Ni jambo hatari ktk sheria/haki, unapo ona uovu Mahakamani.Kesi ya Mkti Mbowe imetoa taswira ya Mahakama/DPP. Kazi ya DPP ni kuisaidia Mahakama kufikia maamuzi ya haki sio mkakati wa kumfunga mtu kwa njia yoyote ile na Mahakama kazi yake ni kupima mambo kwa hadhi/haki na kweli.
17
62
1
494
Maria Sarungi Tsehai retweeted
Wanajeshi wa Uganda na wa DR Congo washirikiana kukabiliana na waasi wa ADF ambao wamesababisha vifo vya maelfu ya watu katika nchi hizo mbili. mwanzotv.com/2021/12/01/wana…
0
2
0
15
Maria Sarungi Tsehai retweeted
About Femicide Ingia humo saa sita kamili mpaka saa saba upate nondo za Majaji hawa!! @MariaSTsehai @fatma_karume @RebecaGyumi @TawlaTZ @HengaAnna @Mkamitimgawe @CatherineRuge @RahmaMwita @rahmabajun @HildaNewton21
Happening Today! You can still register and be a part of the conversation hosted in collaboration with @ICJ_Africa [Register] here 👉us02web.zoom.us/meeting/regi… #16Days #WomenEmpowerment #HumanRights #HumanDignity
1
7
1
28